Psalms 22:6-7


6 aMimi ni mnyoo wala si mwanadamu,
wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau.

7 bWote wanionao hunidhihaki,
hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Copyright information for SwhKC